Matokeo rasmi ya uchaguzi mdogo uliofanyika katika jimbo la
Klenga yanaonyesha kuwa mgombea ubunge wa jimbo hilo kupoitia Chama Cha
Mapinduzi (CCM) Bwana Godfrey Mgimwa ameshinda.
Uchaguzi huo ulifanyika kufuatia kifo cha aliyekuwa mbunge
wa jimbo hilo Dr. Mgimwa, ambaye pia ni baba mzazi wa Godfrey Mgimwa.
Tunakupongeza na kukutakia kila lakheri mbunge mteule wa
Kalenga. Kumbuka kutimiza ahadi ulizowaahidi wananchi wa Kalenga.
No comments:
Post a Comment