Kunradhi, ubora wa sauti ni wa kiwango cha chini, lakini inaweza kusikika sauti ya Ezra, Frank na Vera. Wengine sauti zao zinasikika kwa mbali sana hivyo nimeziondoa.
Ezra: "...hata huko pia upate wapendwa wengine katika Bwana ambao watakaa nawewe kwa wakati huo ambao utakua huko. Zaidi sana nakuombea mafanikio makubwa... na pili ile kampeni yetu ile inaendelea...."
Frank: "...zaidi tu yeye tumtakie tu heri...atambue kwamba Mungu yuko kote, Mungu hana mipaka...zaidi sana uwe na maisha mazuri..."
Vera: "Ah, Mi nashukuru. Kwanza napenda kushukuru kujumuika hapa kama mwanamke pekee katika kundi la wanaume...zaidi nakutakia safari njema... kuna kitu ambacho Ryoba amesema hapa, mimi naomba iwe angalizo...home is the best always..urudi nyumbani...tutakuwepo, tunakuombea na sisi pia tuombee."
Maneno mazuri sana haya. Yananipa nguvu. Thank you guys.. I'm missing u!
No comments:
Post a Comment