Kwaheri MUCCoBS Karibu MoCU.....!!!!!
Baada ya kuwa Chuo Kikuu Kishiriki cha SUA kwa kipindi cha takribani miaka kumi tangu 2004, Chuo Kikuu Kishiriki cha Biashara Moshi (MUCCoBS) sasa chawa Chuo Kikuu kamili. Kama sehemu ya mabadiliko hayo jina la Chuo halitakuwa tena Moshi University College of Cooperative and Business Studies (MUCCoBS), bali litakua Moshi Cooperative University (MoCU).
Asante MUCCoBS kwa kutuzalishia wataalamu mbalimbali walioenea nchi nzima, na KWAHERI. Tunachukua fursa hii kukikaribisha chuo kikuu kipya MoCU. Tunaamini kikianzia pale MUCCoBS kilipoishia MoCU kitakuja na mabadiliko mengi chanya.
Kwaheri MUCCoBS na Karibu MoCU!
Nice Blog Boss. :-)
ReplyDelete