Acacia-land English Medium Pre and Primary School

Acacia-land English Medium Pre and Primary School
Acacia-land English Medium Pre and Primary School, P. O. Box 101, Igunga-Tabora. Phone: +255 784 545202

Wednesday, 19 March 2014

JK Kufungua rasmi bunge la Katiba Ijumaa hii


Habari tulizozipata kutoka Dodoma zinasema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr. Jakaya Kikwete atalihutubia na kulifungua rasmi Bunge la Katiba Ijumaa hii saa kumi alasiri.

No comments:

Post a Comment