Inapofika jumatatu huwa nakumbuka maneno ya wimbo wa Ambassadors of Christ..
"...kazi tufanye, tufanye ndugu kwa nguvu tulopewaa,
kamwe huwezi kuendelea usipoifanya kazi,
lakini katika yote ukumbuke kuwa Mungu ni wa kwanza,
Ni vema tufanye lakini bila baraka zake hatutapata..."

No comments:
Post a Comment