Acacia-land English Medium Pre and Primary School

Acacia-land English Medium Pre and Primary School
Acacia-land English Medium Pre and Primary School, P. O. Box 101, Igunga-Tabora. Phone: +255 784 545202

Monday, 29 September 2014

Mama Kikwete na aliyekua Rais wa Malawi Bi. Joyce Banda

Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo,WAMA, Mama Salma Kikwete akisalimiana na Mama Joyce Banda, Rais Mstaafu  wa Malawi muda mfupi kabla ya kuanza mkutano wa Wake wa Marais na Wakuu wa Nchi ulizungumzia namna ya kuwawezesha wanawake na wasichana kifedha huko New York tarehe 25.9.2014

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi mbalimbali waliohudhuria mkutano wa Wake wa Marais na Wakuu wa Nchi za Umoja wa Mataifa. Kutoka kushoto ni Mama Kim Barrow, Mke wa Waziri Mkuu wa Belize, Mama Joyce Banda na wa kwanza kushoto ni Mama Dianne Stewart. Picha kwa hisani ya John Lukuwi

No comments:

Post a Comment