Tofauti za itikadi za kisiasa sio uadui. Hivi ndivyo wanavyoonekana kusema Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) (pichani) pamoja na wenzao wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) baada ya wanaCCM hao kuamua kuchukua lifti ya gari la CHADEMA linalotumika katika kampeni ya Vuguvugu la Mabadiliko "Movement for Change (M4C)".
Tuesday, 21 October 2014
Mwanariadha Pistorious afungwa jela miaka mitano
Habari za hivi punde kutoka Afrika ya Kusini zinaeleza kuwa mwanariadha Oscar Pistorius (pichani) amehukumiwa jela miaka 5 baada ya kupatikana na hatia ya kumuua mpenziwe Reeva Steenkamp.
Tuesday, 14 October 2014
Friday, 3 October 2014
Wednesday, 1 October 2014
JK uso kwa uso na Halima Mdee
Subscribe to:
Posts (Atom)